Habari Mpya!

Mradi wa PATA unaotekelezwa na NYDT kwa kushirikiana na FIPS Africa umelenga kuhakikisha wakulima wanawezeshwa katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na Ufugaji wa kuku wanafikiwa na kuwezeshwa, lengo ni kuhakikisha uchumi wao unakuwa imara usiotegemea chanzo kimoja cha mapto. Kwa kuhakikisha hayo yote yanatekelezwa, NYDT imefanya mafunzo maalumu ya ufugaji wenye tija kwa wakulima wawezeshaji(VBA) wanaotoka Halmashauri ya Uvinza Dc na Kigoma Dc na kuweka maazimio ya kila mkulima mwezeshaji kuwafikia wakulima wenzake wanaotoka kwenye Kitongoji alichotokea ili kuhakikisha Elimu aliyoipata inawafikia vyema kwa nadharia na Vitendo ambapo hiyo itaongeza wigo na Tija kwa wafugaji wa maeneo husika.

See insights and ads

 

Boost post

Like

Comment

Send

Share

1 thought on “Habari Mpya!”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *