:

Mahindi

Ninahitaji Mahindi Tani 5000 ya msimu uliopita *Sifa* Specs: White maize-mahindi meupe No rotten or insect bitten seeds. Dust free (yasiwe machafu) Moisture content: 13% maximum. Packing: 90 kgs.(yawe kwenye gunia la kilo 90) Kwa maelezo zaidi +255 658 188 518 Mr.Mulema Dar es salaam.

Kizio cha Ujazo: Kilogram

Tafadhari ingia au jisajili na uingie ili kuwasiliana na muuzaji wa bidhaa hii